Wachezaji wa mchezo wa Endiball kutoka Ilala na Temeke wakipambana katika uwanja wa Chuo Kikuu Dar es Salaam jana,wakati wa michezo ya Umoja wa Shule za Msingi UMITASHUMTA.Picha na Heri Shaaban |
Wachezaji wa Ilala na Temeke wakicheza voleball ,katika michezo ya Shule za Misingi (UMITASHUMTA) katika viwanja vya Chuo kikuu Dar es Salaam jana,Picha na Heri Shaaban |
No comments:
Post a Comment