Moto umeteketeza jengo katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwl Nyerer- Kigamboni, jijini Dar es Salaam. ambalo likuwa likitumika na wanachuo hao kwaajili ya kula chakula
Mpaka sasa chanzo na hasara hivijajulikana. Zimamoto wapo eneo la tukio wakiendelea na jitihada za kuzimo moto huo
No comments:
Post a Comment