VideoMPYA: Msanii Nuh mziwanda aangusha kideo cha jike shupa - MUANGALIZI

Hot

Post Top Ad

Your Ad Spot

Friday, June 10, 2016

VideoMPYA: Msanii Nuh mziwanda aangusha kideo cha jike shupa





Kipindi kirefu kidogo kimepita  toka msanii wa Bongofleva Nuh Mziwanda alivyoachia audio ya hit single ya ‘Jike Shupa’ aliyomshirikisha  msanii mwenye sauti hadimu  Alikiba, leo June 11 2016 imeachiwa rasmi video ya hit single ya ‘Jike Shupa’, enjoy kwa kutazama dakika tatu na sekunde 50 za video yenyewe 



No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot