Usipitwe na hii umewahi kuona Behind the scene ya video ya Rich mavoko Ibaki story, Diamond akitema yai kwa Director - MUANGALIZI

Hot

Post Top Ad

Your Ad Spot

Friday, June 10, 2016

Usipitwe na hii umewahi kuona Behind the scene ya video ya Rich mavoko Ibaki story, Diamond akitema yai kwa Director



hivi ndivyo ilivyokuwa katika ku shoot kichupa cha ibaki story ya Rich Mavoko, na sifa kedekede kwa director wa ngoma hiyo iliyorekodiwa huko south africa na diamond kuwa Mkalimani Duuuuuh!!!!!! hii kali inamaana wenzake hawajui kutema yai( english).



No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot