![]() |
Msanii Batuli akiwa katika pozi la siku |
BAADA ya makundi kibao kuibuka na kujiita team fulani katika kuonesha umiliki kwa msanii fulani, mashabiki wa msanii Batuli ambao wanajiita Team Batuli, wamedai kuwa iwe isiwe watakufa na msanii huyo.
Team Batuli waliandika kwenye ukurasa wao, wakidai kuwa wanampenda na wako tayari kufanya lolote ili kumpa nafasi msanii wao kufanya vizuri kwenye tasnia ya filamu.
"Tunavyompenda Batuli tuko tayari kufa naye, si kama wasanii wengine ambao wanajiona tuko imara tena hatajali team fulani kwa sababu hawamuwezi Batuli wetu," walidai.
No comments:
Post a Comment