David Moyes, ametangazwa kuwa kocha mkuu mpya wa Sunderland - MUANGALIZI

Hot

Post Top Ad

Your Ad Spot

Sunday, July 24, 2016

David Moyes, ametangazwa kuwa kocha mkuu mpya wa Sunderland

Kocha wa zamani wa Everton na Man United, David Moyes ametangazwa kuwa mrithi wa Sam Allardyce, David Moyes ambaye ana umri wa miaka 53 amesaini mkataba wa miaka minne wa kuitumikia Sunderland.
Sam Allardyce maarufu kama Big Sam ambaye ametangazwa kuwa kocha mkuu mpya wa England.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot