Wolper atokwa na povu, akana CHADEMA atangaza kuhamia CCM - MUANGALIZI

Hot

Post Top Ad

Your Ad Spot

Sunday, July 24, 2016

Wolper atokwa na povu, akana CHADEMA atangaza kuhamia CCM

Mwigizaji wa filamu nchini Tanzania Jackline Wolper aliyakuwa akimuunga mkono Edward Lowassa katika uchaguzi Mkuu 2015, ametangaza kujiunga na CCM rasmi jana


Wolper alikaribishwa na mwenyekiti aliyemaliza muda wake Dkt Jakaya Kikwete baada ya kutangaza kujiunga na CCM.

Kitendo hicho kilifanyika katika Mkutano Mkuu Maalum wa CCM uliofanyika jana Julai 23, mkoani Dodoma.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot