| Viongozi wa serikali ya JPM wakiwa katika futari, ya pamoja ilioandaliwa na waziri mkuu Kassim Majaliwa |
Na Francis Michael
Wabunge wa vyama mbalimbali vinavyounda Ukawa walisusia futari iliyoandaliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa hapo jana ikiwa ni mwendelezo wa hatua za kususia shughuli zote zinazoongozwa na Naibu Spika, Dk Tulia Ackson.

No comments:
Post a Comment