![]() |
| Mmoja kati ya Simba waliofungwa katika vyumba maalumu vitakavyowafanya washindwe kutoka humo maisha yao yote kutokana na adhabu waliyopewa ya kuuwa watu watatu.Picha na Shvree Hamdan |
Na Carlos Nichombe:
Simba watatu ambao wanalaumiwa kwa kuwaua watu kadha mashariki mwa India watazuiliwa maisha yao yote kwa kuwekwa sehemu maalum itakayowafanya washindwe kutoka humo
Simba watatu ambao wanalaumiwa kwa kuwaua watu kadha mashariki mwa India watazuiliwa maisha yao yote kwa kuwekwa sehemu maalum itakayowafanya washindwe kutoka humo
Maoafisa wanasema kuwa watu hao waliuawa na simba wa kiume huku wale wa kike wakirarua miili yao na kuifanya miili hiyo kuwa katika hali mbaya zaidi.
Simba wa kiume atapelekwa kwa bustani ya wanyama huku wale wa kike wakipelekwa katika hifadhi ya kuwatunza wanyama.

No comments:
Post a Comment