![]() |
| Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Geofrey Nyange ‘Kaburu’ |
Na Francis Michael
Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Geofrey Nyange ‘Kaburu’, alisema jana kuwa kitu cha kwanza wanachokusudia kukifanya ni kuleta kocha Mzungu mwenye rekodi ya kimataifa, ambaye atawasaidia kuwaongoza kuchagua wachezaji wa kusajili ili kuwa na kikosi imara.



No comments:
Post a Comment