![]() |
| Rais wa Nchi ya Afrika Kusini, Jacob Zuma. |
Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma
ameambiwa kuwa ni lazima alipe mamilioni ya fedha za umma,
ambazo alitumia kukarabati nyumba yake hivi karibuni huko nchini Afrika Kusini.
Rais Zuma aliyekuwa amekataa kulipa fedha hizo kwa madai kuwa yeye alikuwa hafahamu chochote kuhusiana na fedha hizo kwani yeye alijengewa tu nyumba hata hivyo uamuzi huo unasubiri maamuzi ya wizara ya fedha kusema kiasi cha fedha kilichotumika ili aweze kuzilipa.



No comments:
Post a Comment