Msanii mpya wa bongo fleva ambae amedai anamalengo ya kuwa Tishio katika Tasnia ya Muziki Tanzania Bakari Kaoneka (Darfoo) amedai kuwa anataka kufanya Muziki wa Tanzania kuzidi kwenda mbele zaidi ya ulipo sasa kwasababu anapende kujifunza kupitia wasanii waliomzidi.
"Napenda mziki na nmezaliwa nikiupenda na naishi kwenye muziki,na nina malengo ya kuzidi kuupeleka mbali muziki wa Tanzania Uzidi kufika mbali, na naamini nitafanikiwa kwasabau namshirikisha mweneyezi mungu na napenda kujifunza kwa wasanii wakubwa walionizidi maana naamini asiyejifunza kutoka kwa mkubwa hawezi kufikia malengo."
No comments:
Post a Comment