Waziri wa Nchi,Ofisi Ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma na utawala bora, Anjellah Kairuki |
OFISI ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, jana imetangaza majina ya Makatibu Tawala (Ma-DAS), kwenye wilaya mbalimbali nchini.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Anjellah Kairuki, alisema uteuzi huo unatokan na baadhi ya
Makatibu Tawala kustaafu, kufariki na wengine kupoteza sifa za kuendelea kuwa Ma-DAS.
Alisema wateule wote katika nafasi hizo wantakiwa kufika ofisinikwake wakiwa na vyeti vyao halisi na CV mara moja.
ARUSHA
David Mwakiposa (Arusha), Amos Siyantemi (Monduli), Adam Mzee (Arumeru), Abas Kayanda, (Karatu), Lamuel Kileo (Ngorongoro), Toba Nguvila (Longido).
DAR ES SALAAM
Wilaya ya Ilala atakuwa ni Edward Mpogoro, Omary Mhando (Kigamboni), Mtela Mwampamba (Ubungo), Hashimu Komba (Temeke) na Gift Msuya (Kinondoni).
DODOMA
Kasilda Mgeni (Bahi), Athanasia Kabuyanja (Mpwapwa), Juliana Kilasara (Chamwino), Audiphace Mushi (Kongwa), Winnie Kijazi (Kondoa), Jasinta Mboneko (Dodoma ), Ally Chilukile (Chemba).
GEITA
Thomas Dime (Geita), Paul Cheyo (Bukombe), Eliasi Makory (Chato),Reuben Mwelezi (Nyangwale), Christopher Bahali (Mbogwe).
IRINGA
Allan Mwella (Mufindi), Joseph Chitika (Iringa), Yusuph Msawanga (Kilolo).
KATAVI
Epaphras Tenganamba (Mlele), Mahija Nyembo (Mpanda), Mwashitete Geogrey (Tanganyika).
KAGERA
Gread Ndyamukama (Bukoba), Joel Mwakabibi (Biharamulo), Josephat Tibaijuka (Ngara), Mwakasyege Richard (Muleba), Godrey Kasekenya (Misenyi), Weja Ng'olo (Karagwe), Haji Godigodi (Kyerwa).
KIGOMA
Muguha Muguha (Kasulu), Kwame Daftari (Kigoma), Ayubu Sebabili (Kibondo), Zainab Mbunda (Kakonko), Upendo Marango (Uvinza), Peter Masindi (Buhigwe).
KILIMANJARO
Heri James (Hai), Abubakari Asenga (Rombo), Mabenga Magonera (Same), Yusufu Kasuka (Mwanga), Leonard Maufi (Moshi), Nicodemus John (Siha).
LINDI
Thomas Safari (Lindi Mjini), Lameck Lusesa (Liwale), Athanas Hongoli (Kilwa), Husna Sekiboko (Nachingwea), Twaha Mpembenwe (Ruangwa).
MANYARA
Ndaki Mhuli (Kiteto), Zuwena Omary (Simanjiro), Mkumbo Barnabas (Hanang), Cade Mshamu (Babati), Samuel Gunzar (Mbulu).
MARA
Justin Manko (Musoma), Masalu Kisasila (Bunda), John Mahinya (Tarime), Cosmas Qamar (Serengeti), Mirumbe Daudi (Rorya), Credo Lugaila (Butiama).
MBEYA
Anold Mkwawa (Mbeya Mjini), Moses Mashaka (Rungwe), Ezekia Kilemile (Mbarali), Sostenes Mayoka (Chunya), Godfrey Kawacha (Kyela).
MOROGORO
Alfred Shayo (Morogoro Mjini), Michael Maganga (Mvomero), Stanslaus Nyanga (Kilosa), Linno Mwageni (Kilombero), Abraham Mwaikwila (Ulanga/Mahenge), Adam Bibangamba (Gairo).
MTWARA
Teoford Ndomba (Mtwara Mjini), Benaya Kapinga (Masasi), Azizi Fakili (Tandahimba), Michael Matomola (Nanyumbu).
MWANZA
Kazeri Japhet (Misungwi), Solomon Ngiliule (Magu), Andrea Ng'hwani (Kwimba), Alan Muhina (Sengerema), Yonas Alfred (Nyamagana), Focus Majumbi (Ukerewe), Tryphone Mkorokoti (Ilemela).
NJOMBE
Joseph Chota (Njombe Mjini), Stephen Ulaya (Ludewa), Edward Manga (Wanging'ombe).
PWANI
Erica Yegella (Bagamoyo), Sozi Ngate (Kibaha), Gilbert Sandagila (Mafia), Severine Lalika (Mkuranga), Maria Katemana (Rufiji).
RUKWA
Festo Chonya (Nkasi), Christina Nzera (Sumbawanga), Juma Seph (Kalambo).
RUVUMA
Aden Nchimbi (Namtumbo), Gilbert Sinya (Mbinga), Ghaibu Lingo (Tunduru), Pendo Daniel (Songea), Richard Mbambe (Nyasa).
SIMIYU
Albert Rutaihwa (Bariadi), Rutaremwa Rutagumirwa (Maswa),Chele Ndaki (Meatu), Helman Tesha (Itilima), Sebastian Masanja (Busega)
SHINYANGA
Thimonth Ndaya (Kahama), Shadrack Kengese (Kishapu), Boniface Chambi (Shinyanga).
SINGIDA
Pius Songoma (Iramba), Deusdedith Duncun (Manyoni), Wilson Shimo (Singida Mjini), Flora Yongolo (Ikungi), Omar Kipanga (Mkalama).
SONGWE
Johari Samizi (Songwe), Mary Marco (Ileje), Tusubitege Tengela (Mbozi), Mathias Felix (Momba).
TABORA
Sweetbert Nkuba (Tabora Mjini), Moses Pesha (Uyui), Paschal Byemelwa (Urambo), Godslove Kawiche (Igunga), Onesmo Kisoka (Nzega), Renatus Mahimbali (Sikonge), Jones Likuda (Kaliua).
TANGA
Veronika Kinyemi (Lushoto), Mariagrace Kallega (Korogwe), John Mahali (Handeni), Faiza Salim (Tanga Mjini), Desderia Phillip (Muheza), Ebene Mabuga (Pangani), Joseph Sura (Mkinga), Philis Nyimbi (Kilindi).
Makatibu Tawala wa Wilaya za Newala, Makete na Kisarawe zitaendelea kuwa wazi hadi watakapotangaziwa.
No comments:
Post a Comment