Rahman kuikosa michuano ya Afcon - MUANGALIZI

Hot

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, January 19, 2017

Rahman kuikosa michuano ya Afcon


*Kukaa nje miezi minne
Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Ghana, Baba Rahman.

BEKI wa kushoto wa timu ya Taifa ya Ghana Baba Rahman ataikosa michuano ya kombe la Mataifa ya ya Afrika yanayoendelea Nchini Gabon kutokana na kupata maumivu ya goti.

Rahman 22, aliumia goti katika mchezo wao wa kwanza wa kundi D, dhidi ya Uganda uliofnyika siku ya Jumanne uliofanyika kwenye dim ba la Port Gentil.

Mchezaji huo anayekipiga katika klabu ya Schalke 04 inayoshiriki Ligi Kuu ya Ujerumani kwa mkopo akitokea Chelsea atalazimika kukaa nje kwa muda wa miezi minne.

Hata hivyo Rahman amesafiri na timu ya Madokta wa Ghana, kwa ajili ya kufanyiwa matibabu ikiwemo kipimo cha Scani kuhakikisha anapata nafuu.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot