NACTE | waongeza muda wa udahili - MUANGALIZI

Hot

Post Top Ad

Your Ad Spot

Monday, August 8, 2016

NACTE | waongeza muda wa udahili




Baraza linapenda kuwaarifu wote walioomba kudahiliwa katika kozi za cheti na diploma na umma kwa ujumla kuwa muda wa nyongeza wa kutuma maombi kwa mwaka 2016/2017 umeongezwa hadi tarehe 13 Agosti 2016 ili kuruhusu ambao hawakukamilisha maombi yao kuyamaliza na ambao hawajafanikiwa kuomba kutuma maombi yao.    soma zaidi

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot