Bukola Saraki na naibu wake Ike Ekweremadu,
wamekanusha madai hayo yanayoaminika kutekelezwa mwaka jana, ambayo iliwasaidia
kupata vyeo walivyo navyo sasa.
Iwapo watapatikana na hatia, watahukumiwa kifungo
cha hadi miaka 14 jela.
Bwana Saraki pia, amekuwa akikabiliwa na kesi
nyingine mahakamani kuhusiana na udanganyifu wa mali anayodaiwa kumiliki,
makosa ambayo ameyakanusha.



No comments:
Post a Comment