![]() |
| kushoto ni waziri mwigulu nchemba akikabidhiwa ofisi na aliyekuwa waziri wa mabo ya ndani Charles Kitwanga |
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambaye uteuzi wake ulitenguliwa na Rais Magufuli kwa kosa la kujibu swali bungeni akiwa amelewa, Charles Kitwanga leo amemkabidhi Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi Mwigulu Lameck Nchemba nyaraka za ofisi hiyo.
Tukio hilo limetokea leo katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi yaliyopo jijini Sar es Salaam





No comments:
Post a Comment