![]() |
| Baba aliyetengeneza tatoo ili afanane na mwanae |
Na Mwandishi wetu
Baba wa miaka 28 nchini Marekani
amenyoa kichwa chake na kuweka mchoro wa tatoo unaofanana na kovu la
kichwa cha mwanawe aliyefanyiwa upasuaji.
![]() |
| Baba aliyechora tatoo ili afanane na mwanae akimpa Kiss mwanae. |
Niliwekwa tatoo ya kovu la mwanangu ili kuimarisha motisha yake.
Shindano hilo huwashirkisha watu wa familia na marafiki wa mtoto aliye na saratani.
Mwanawe alipatikana na uvimbe katika ubongo mnamo mwezi Machi.
''Mwanangu alikuwa na wasiwasi mwingi baada ya kufanyiwa upasuaji,alijihisi kama hayawani'',alisema Josh Marshal.




No comments:
Post a Comment