Msanii wa bongo fleva anaejulikana kwa jina la edu boy, alieachia jiwe lake jipya siku chache zilizopita amejikuta kuingia kwenye bifu zitto na msanii stamina ambae alifanya nae remix ya ngoma yake ya Naiee, baada ya kutoa ngoma mpya inayoitwa TUNASAFISHA ambapo ndani ya ngoma hiyo amewapita wasanii wengi kwa kuwachana akiwemo Diamond, alikiba dogo janja stamina na wengine wengi.
Bifu hili kati ya stamina na Edu boy limesababishwa na ngoma hiyo baada ya kuibwa kuwa stamina anaimba kwa kusafiria nyota za wasanii wenzake, Edu boy. katika mahojiano aliofanyiwa edu boy na times fm ameeleza uwa kabl hajatoa ngoma hiyo alimshirikisha stamina na alijibiwa kuwa kama kamchana nae atamjibu na baadae kilichotokea baada ya ngoma kutoka alishangaa kuona amefungiwa (BLOCK) na stamina kwenye kila njia ya mawasiliano
Vile vile edu alieleza kuwa kama ni bifu, liwe la kimuziki nae aingie studio amjibu na ikiwezekana waingie ulingoni ili zaidi ya menzake ajulikane na kusisitiza kuwa hata stamina akiiingia ulingozi hataweza kwani atamuaibisha.
No comments:
Post a Comment