Kama Ulipitwa na Orodha ya MADAC cheki hapa. - MUANGALIZI

Hot

Post Top Ad

Your Ad Spot

Wednesday, July 6, 2016

Kama Ulipitwa na Orodha ya MADAC cheki hapa.


Waziri wa Nchi,Ofisi Ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma na utawala bora, Anjellah Kairuki

OFISI ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, jana imetangaza majina ya Makatibu Tawala (Ma-DAS), kwenye  wilaya mbalimbali nchini.

Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala  Bora, Anjellah Kairuki, alisema uteuzi huo unatokan na baadhi ya
Makatibu Tawala kustaafu, kufariki na wengine kupoteza sifa za kuendelea kuwa Ma-DAS.

Alisema wateule wote katika nafasi hizo wantakiwa kufika ofisinikwake wakiwa na vyeti vyao halisi na CV mara moja.

ARUSHA

 David Mwakiposa (Arusha), Amos Siyantemi (Monduli), Adam Mzee (Arumeru), Abas Kayanda, (Karatu), Lamuel Kileo (Ngorongoro), Toba Nguvila (Longido).

DAR ES SALAAM

Wilaya ya Ilala atakuwa ni Edward Mpogoro, Omary Mhando (Kigamboni), Mtela Mwampamba (Ubungo), Hashimu Komba (Temeke) na Gift Msuya (Kinondoni).

DODOMA

Kasilda Mgeni (Bahi), Athanasia Kabuyanja (Mpwapwa), Juliana Kilasara (Chamwino), Audiphace Mushi (Kongwa), Winnie Kijazi (Kondoa), Jasinta Mboneko (Dodoma ), Ally Chilukile (Chemba).

GEITA

Thomas Dime (Geita), Paul Cheyo (Bukombe), Eliasi Makory (Chato),Reuben Mwelezi (Nyangwale), Christopher Bahali (Mbogwe).

IRINGA

Allan Mwella (Mufindi), Joseph Chitika (Iringa), Yusuph Msawanga (Kilolo).

KATAVI

Epaphras Tenganamba (Mlele), Mahija Nyembo (Mpanda), Mwashitete Geogrey (Tanganyika).

KAGERA

Gread Ndyamukama (Bukoba), Joel Mwakabibi (Biharamulo), Josephat Tibaijuka (Ngara), Mwakasyege Richard (Muleba), Godrey Kasekenya (Misenyi), Weja Ng'olo (Karagwe), Haji Godigodi (Kyerwa).

KIGOMA

Muguha Muguha (Kasulu), Kwame Daftari (Kigoma), Ayubu Sebabili (Kibondo), Zainab Mbunda (Kakonko), Upendo Marango (Uvinza),  Peter Masindi (Buhigwe).

KILIMANJARO

Heri James (Hai), Abubakari Asenga (Rombo), Mabenga Magonera (Same), Yusufu Kasuka (Mwanga), Leonard Maufi (Moshi), Nicodemus John (Siha).

LINDI

Thomas Safari (Lindi Mjini), Lameck Lusesa (Liwale), Athanas Hongoli (Kilwa), Husna Sekiboko (Nachingwea), Twaha Mpembenwe (Ruangwa).

MANYARA

Ndaki Mhuli (Kiteto), Zuwena Omary (Simanjiro), Mkumbo Barnabas (Hanang), Cade Mshamu (Babati), Samuel Gunzar (Mbulu).

MARA

Justin Manko (Musoma), Masalu Kisasila (Bunda), John Mahinya (Tarime), Cosmas Qamar (Serengeti), Mirumbe Daudi (Rorya), Credo Lugaila (Butiama).

MBEYA

Anold Mkwawa (Mbeya Mjini), Moses Mashaka (Rungwe), Ezekia Kilemile (Mbarali), Sostenes Mayoka (Chunya), Godfrey Kawacha (Kyela).

MOROGORO

Alfred Shayo (Morogoro Mjini), Michael Maganga (Mvomero),  Stanslaus Nyanga (Kilosa), Linno Mwageni (Kilombero), Abraham Mwaikwila (Ulanga/Mahenge), Adam Bibangamba (Gairo).

MTWARA

Teoford Ndomba (Mtwara Mjini), Benaya Kapinga (Masasi), Azizi Fakili (Tandahimba), Michael Matomola (Nanyumbu).

MWANZA

Kazeri Japhet (Misungwi), Solomon Ngiliule (Magu), Andrea Ng'hwani (Kwimba), Alan Muhina (Sengerema), Yonas Alfred (Nyamagana), Focus Majumbi (Ukerewe), Tryphone Mkorokoti (Ilemela).

NJOMBE

Joseph Chota (Njombe Mjini), Stephen Ulaya (Ludewa), Edward Manga (Wanging'ombe).

PWANI

Erica Yegella (Bagamoyo), Sozi Ngate (Kibaha), Gilbert Sandagila (Mafia), Severine Lalika (Mkuranga), Maria Katemana (Rufiji).

RUKWA

Festo Chonya (Nkasi), Christina Nzera (Sumbawanga), Juma Seph (Kalambo).

RUVUMA

Aden Nchimbi (Namtumbo), Gilbert Sinya (Mbinga), Ghaibu Lingo (Tunduru), Pendo Daniel (Songea), Richard Mbambe (Nyasa).

SIMIYU

Albert Rutaihwa (Bariadi), Rutaremwa Rutagumirwa (Maswa),Chele Ndaki (Meatu), Helman Tesha (Itilima), Sebastian Masanja (Busega)

SHINYANGA

Thimonth Ndaya (Kahama), Shadrack Kengese (Kishapu), Boniface Chambi (Shinyanga).

SINGIDA

Pius Songoma (Iramba), Deusdedith Duncun (Manyoni), Wilson Shimo (Singida Mjini), Flora Yongolo (Ikungi), Omar Kipanga (Mkalama).

SONGWE

Johari Samizi (Songwe), Mary Marco (Ileje), Tusubitege Tengela (Mbozi), Mathias Felix (Momba).

TABORA

Sweetbert Nkuba (Tabora Mjini), Moses Pesha (Uyui), Paschal Byemelwa (Urambo), Godslove Kawiche (Igunga), Onesmo Kisoka (Nzega), Renatus Mahimbali (Sikonge), Jones Likuda (Kaliua).

TANGA

Veronika Kinyemi (Lushoto), Mariagrace Kallega (Korogwe), John Mahali (Handeni), Faiza Salim (Tanga Mjini), Desderia Phillip (Muheza), Ebene Mabuga (Pangani), Joseph Sura (Mkinga), Philis Nyimbi (Kilindi).

Makatibu Tawala wa Wilaya za Newala, Makete na Kisarawe zitaendelea kuwa wazi hadi watakapotangaziwa.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot